Buyado Boyka
Buyado Boyka

watabaki_kushangaa_-_Buyado_Boyka

watabaki_kushangaa_-_Buyado_Boyka

2 Plays

11 Dec 2022

yeah watu wanashangaa eeh eti wanashangaa yeah vile nimekuwa star aah watabaki kushangaa Thanks God for this talent so far umenitoa far me na keep it a hundred 💯nasema thanks jah nime move on na music nimekuwa star watu wamekubali vile ina faa nimehit right on target siwezi kosa ukiskia PA juwa imekukosa alilenga hananga shabaha ameifanya makosa maniggaz wacha niwashow this ukifeli plan A pia kuna plan B usijali hata ukipata D we tia tu BD hustle hustle we kaza tu masucles usiogope kutosha jasho mpasho mpasho me nawapea mpasho Kuna watu hawapendi kazi wanapenda kudhenga wanaume wengine ni wambea pitia pale stage tu watakuongea me sijali ata mukiongea shit about me coz my life is like a movie they call me Boyka so asanteni kwa kunifatilia ipo siku mtachoka me sitegemei mwanadamu namtegemea Mungu ju hawezi kunifeli ye ni Mungu wa wote amenitoa mbali bado naomba Jalali aniongoze katika hii safari ya mziki aniongezee mashabiki nipate Kiki niinuke kimziki nipige show kila wiki BUYADO BOYKA Jina kubwa songs ni moto ni fire hadi wanagwaya

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like