sawa

50 Plays

24 Nov 2022

Mhhh sio siri muuza sura amepanda bei na sa ndio amefura bila pesa ye haongei ana mdisi sanura ukimgusa ana bipu boss sholei najiamini kenge kwenye safari ya mamba naongoza najigamba natamba ata nawaroga. Mjini mi ngekewa nina zare ata tuzo nimepewa mkulima naelima shamba la barafu alafu makusudi navuna madafu I don't care mtaniambia nini nyambafu. Kisu kali nisha kimeza kuforce genge kali siku yanga itacheza simba yenye misumari na bado inateleza anaamini bado kitaa inamkubali anavuma aisee ustaa unamkubali kwa uncle mansumali anavyo jiamini kumuua nyoka na ye ni fimbo ya mbali. Hakuna mkate mgumu mbele ya supu kwenye life ni kusukuma magurudumu ata ukitoka na jina la susu.wanatoa zina heart na show za kimotoka ukiamini beat ni za tee hits

4 Comments

Leave a comment

2 years ago

dope song man follow me to stay in touch

2 years ago

Damn this is fire homie 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

2 years ago

I can't understand the song bruh. Iono, nmaybe come out wit a English version lol

You may also like