Crazytrigah
Crazytrigah

Sabbath day-Crazy trigah

Sabbath day-Crazy trigah

189 Plays

07 Nov 2022

Sifa tu nikupe nikuabudu we pekee Nifa tumetoka I say Lord be praised You need that worship you need that voice Its a sabath day we respect you as your day Lets praise in the spirit Coz only our Father Jina lako linafar ju wewe kwanza Baba tuongoze kiroho Zote zitoke kwa roho Praises we are giving you all Tulinde kimwili na roho Na penye rumefika si rahisi Kwanza pokea sifa mingi Ngumu unafanya rahisi Na praises zifike kwa wingi Our Father our Father Father Please dont put me Father Ukiniacha nita staga Ndo nataka nifike kwako Venye inafaa Jina lako ni silaa Amani kwako nikifaa Siezi rudi ninyuma ni sodom na gomra Siezi cheki nyuma juu uwepo wako sitaona Nani kwako huu ugonjwa nitapona,mapepo zitatoroka Baraka nitapata,kuoga nitaoga,kuona nitaona Kuongezewa nguvu na uwezo wa kuomba Kushinda hizi vita za kishetani z kidunia Shetani akifika tunaeza mdungilia Kwa na amininia nanama naminia Mkono wekelea,nimukutolea kofia Nguvu za,shetani mi siwezi tu hofia Wewe ni mkubwa unameshinda miaka ya hostoria Ulikua mbele kila kitu kwanza uliundisha dunia You always my Father nakuona wa kwanza Sometimes inashindikana kukufuata lakin we huezi niacha Umeniekea daraja hizi shida nazivukia Lazima nikupraise juu unafanya napumua You dont see the history we hunitoa kwa ngori Kwa vitu nimefanya aki Dad im so sorry Najua mi nimchafu ni ukweli si story Sifai mbele zako sifai tu machoni Lakini ulinionyesha kuna njia kwa damu ya Yesu msalabani Umenishow kila saa huezi niacha taabani Ulinileta kwa dunia na ukanileta na sahani

22 Comments

Leave a comment

1 year ago

Bars: Great 🎉 Delivery: Great 🎉 Impression: Great 🎉

1 year ago

Bars: Great 🎉 Delivery: On point 🎯 Impression: On point 🎯

1 year ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

You may also like