😈

19 Plays

29 Oct 2022

desturi kiburi kutokufanya vizuri,nini kusema kwawatu wew maskini jeuri,hujui muumba hupiga nyoyo za ovu mihuri,hakuna ulicho vuna dunia umeipata sifuri,pale unapokua ndani ya mwanandani,nasheikh akiweka ubani,siutani, sisi tutakua tumeondoka omba kipute isije dhiki ikukute,maovu yako uyafute. sisi tutakua tumeondoka pale unapotambia,mezani unakunywa bear,mraka umekumbatia tutakuwa pamoja mtagongesha glass,kwa fas ya dwas choma jani zuga mida club tonight sisi tutakuwepo

2 Comments

Leave a comment

1 year ago

Fiya 🚀

2 years ago

desturi kiburi kutokufanya vizuri,nini kusema kwawatu wew maskini jeuri,hujui muumba hupiga nyoyo za ovu mihuri,hakuna ulicho vuna dunia umeipata sifuri,pale unapokua ndani ya mwanandani,nasheikh akiweka ubani,siutani, sisi tutakua tumeondoka omba kipute isije dhiki ikukute,maovu yako uyafute. sisi tutakua tumeondoka pale unapotambia,mezani unakunywa bear,mraka umekumbatia tutakuwa pamoja mtagongesha glass,kwa fas ya dwas choma jani zuga mida club tonight sisi tutakuwepo

You may also like