Kaks

11 Plays

27 Oct 2022

R ip donee, umeondoka dunia hii.unaheshimika,utakumbukwa,kwa tenzi na ushairi ulikua tena mahiri. hakuna mc mkali kama donii ukiachilia hawa mawack number d,watabak tapatapatu kwa gem namna hii wanarap rap hata panchi line hatuzikii Amani kwako nash emc na frost,nuru sururu chindo man na gost,amani kwao omega 5five tuf ruffnecker amani kwao sytmore na more traa,amani kwao, sababu zakuhesabu ndipo unapata jawabu maisha ya tabu yatakupandisha gadhabu, selaa hii haiitaji kidani, kama nikipaji kimejificha kwandani,tazama watani,mbona sema ovyo jamani,kwamba kanali nimepoteza ramani,tena swali,

2 Comments

Leave a comment

1 year ago

Strong Bars 💪

2 years ago

You may also like