Kachu mC
Kachu mC

Christmas (15:16)

Christmas (15:16)

15 Plays

11 Oct 2022

jeah aha watoto kaeni kwa umakini yule king wa rap anafanYa yake mjini/ Mistari imejaa kichwani zaidi ya misosi kantiNi/ ongezeni juudu mnipiku ila sjui itakuwa lini/ Mana naandika vitu visivyo andikika micre phone inaponiona studio uwaga inaitika/ siuwezi uvivu nimezoa kuchakalika ata shali kwangu akuna niko pis na kila rika/ wanajiuliza kachu anawezaje kufanya alafu bado naendelea nataka nfanye kwa upana/ Tazama mziki naujua ila wakuda wanabana ila mchiz sibaniki nawalegeza bila spana/ Naenda less adi nifike nnapotaka napita kwa speed kali ni zaid ya mchaka mchaka/ Namba zao uwaga za mbali kwangu moja awato pata wanadai nnatungo atali kama kabali ya kibaka/ Bado nabisha mpaka wabishi wakubali kama kachu xela now mi ndo king wa mistari/ pilau la nini lete dagaa na ugali chachandu isikosekane alafu pigia mstari/ maisha mafupi ila yana mambo marefu mazuli na yanayo chefua ni zaidi ya kichefu chefu/ levo za yanga bado bwana mdogo kacheze ihefu leo nawabana kona zote kamwe siwezi kuwapa gepu/

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like