simba

396 Plays

09 Oct 2022

maisha ni popote ata ulaya tutakaa, utazubaa na kuduwa hata life iko dar, shwari yako, usiseme hatikua nikisingizio, maisha nimapato kwa mda huu au sio. kilakila kimptaa wanashangaa, kwa mastaa wanaduwaa nnavo vaa, santaner ninavyo floo sinamdaa, kina saidi na faradi na babangidaa hapa freshy hapa hopu baridaa pisha pisha pisha raaa, cheki cheki cheki saa, mda hauruhusu tutaachwa na masaa, kila kicheka, tabasamu la balaa unapo susa minashindwa hata kuringaa, fikifikisha umbea wako wabandia, hizo zama tumetoka sasa tunaraa, tena kwa buraaa, bila shaka utashangaa, kipipitaap iko siku utatokaaa, tena chap chap kama mbio za simbaa, uta rap rap kama shibo de santaner. utakach kach, mitikaskas, kaza kamba brudu time kujitap tap

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like