its Davyd
its Davyd

story ya kugusa

story ya kugusa

61 Plays

21 Sep 2022

kuna manzi aliibukaga usiku alafu me yenyewe nimewaka Niko vibu muuliza vipi mama ungependaga kilabu akasema amechoka nikamtuliza mbabu baada ya muda asubuhi ikafikaa kijana chumban nikafanya jiongea manz kitandan amelala kama kafa nikaenda hadi closer nikaanza kumgusa basi nikamgusa, story imekwisha, si unakumbuka hii ni story ya kugusa pindi Fulani pande Fulani sanawari kuna manzi pande zile ni mkali ka sumari nikarequest namba zake akasema ucjali anaitwaga amari nikamsave asali slow slow si ndo akaanza kuelewa nikamwita hadi ghetto akafika hakichelewa manz kajianda ka anakuja kupepewa akaja hadi close akaanza kunigusa nami nikamgusa, story imekwisha, si unakumbuka hii ni story ya kugusa

2 Comments

Leave a comment

2 years ago

👀 Bars: Nice 🌟 Delivery: Nice 🌟 Impression: Nice 🌟

2 years ago

kuna manzi aliibukaga usiku alafu me yenyewe nimewaka Niko vibu muuliza vipi mama ungependaga kilabu akasema amechoka nikamtuliza mbabu baada ya muda asubuhi ikafikaa kijana chumban nikafanya jiongea manz kitandan amelala kama kafa nikaenda hadi closer nikaanza kumgusa basi nikamgusa, story imekwisha, si unakumbuka hii ni story ya kugusa pindi Fulani pande Fulani sanawari kuna manzi pande zile ni mkali ka sumari nikarequest namba zake akasema ucjali anaitwaga amari nikamsave asali slow slow si ndo akaanza kuelewa nikamwita hadi ghetto akafika hakichelewa manz kajianda ka anakuja kupepewa akaja hadi close akaanza kunigusa nami nikamgusa, story imekwisha, si unakumbuka hii ni story ya kugusa

You may also like