Kenya

13 Plays

05 Sep 2022

Kenya ni wapi kenya ni Hell Kenya ni wapi Kenya ni hell Kenya ni wapi Kenya ni hell Hey skiza ni yobaby ndani ya drills kila time naamka kutafuta grills hii hunipeleka mbioo juu hakuna meals wera ni kusweat umwage jasho pale mills hakuna msee atakuskiza bila skills we piga hustle bila kutumia scales yeah yeah yeah kila msee hutafuta famety na famety iwezi kuja bila kuwa na courtesy kila kitu lazima uwe commited kabla ya apology Kanairo utapata msee atakuamukia na eulogy hey skiza kenya ni wapi pale ig unafwata NlE updates zote ni za NBA bila kupiga support kwa kenyan Rapper mnatufutilia kama tissue pappers and each time you got a paper hamuwezi turank ndo maana account zetu ni zero kwa bank hiyo husababisha tutengeneze gang tuwafinye ndo tupate izo strand juu bila kurobb hatuwezi stand hakuna mkenya atukuunderstand wacha ni washow kenya ni wapi me najijua ila akuna msee amenijua huwezi pata msee amemature kila kitu ni kuongeza manure madem wabaki secure wengi si productive cells zao ziko inactive inataka activation key ibaki active akuna msee atapata ikiwa offensive everything inakam na evidence ibake iwe secure na corrective najua hamuwezi elewa kenya ni wapi

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like