Karim

test 1 failure hope failure

Karim
test 1 failure hope failure

26 Plays

28 Aug 2022

Mi nawe twapendezana, Kwa pendo lililoshiba, Hakika tunatoshana, Kwa dhati pia kwa huba, Pendo tunalopeana, Linayo tele mahaba. Wanipa mie furaha, U zawadi maishani, Kuwa nawe kuna raha, Ni raha iso kifani, Nafurahi kwa madaha, Waridi langu moyoni.  ........................... kitaka kunipenda nipende taratibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Ukitaka kunipa raha basi iwe taratibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Ukitaka kuniumiza niumize tu kidogo, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Ukitaka kunitesa sikuzuwii ila taratibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Moyo wangu, moyo wangu uendee taratibu, Ukizidisha waniletea masahibu! Usiku silali ukiniuliza we ndo sababu, Taratibu basi utaniuwa mwenzio! Moyo wangu, moyo wangu unauadhibu, Basi fanya japo taratibu! Niondolee madhila yaliyozidia hesabu, Utaniuwa mwana wa mwenzio! Taratibu, twende taratibu basi taratibu, Nitese tu kidogo ukipata sababu! Ukizidisha moyo wangu wauharibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio!

3 Comments

Leave a comment

2 years ago

Wow your track is fire bro continue.......

2 years ago

Wassup @unju, Thank you for sharing 'test failure' with our community 💥. Here are a few words to the wise from us: 1. Take some inspiration from a range of generes and styles, this way you can create a sound truly unique to you! 2. Once you find a good recording set up, stick with it! Rapping is all about consistency, try and apply this to every level of your music! 3. Adding some light studio effects on your vocal tracks to really give your track body and fullness, try it out! 4. Try using our denoise feature to reduce the background noise from your device! We hope to hear some more from you in the future, we would love to hear how you take our advice on board! 💪 All the best, The Rap Fame Team 😎

2 years ago

Mi nawe twapendezana, Kwa pendo lililoshiba, Hakika tunatoshana, Kwa dhati pia kwa huba, Pendo tunalopeana, Linayo tele mahaba. Wanipa mie furaha, U zawadi maishani, Kuwa nawe kuna raha, Ni raha iso kifani, Nafurahi kwa madaha, Waridi langu moyoni.  ........................... kitaka kunipenda nipende taratibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Ukitaka kunipa raha basi iwe taratibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Ukitaka kuniumiza niumize tu kidogo, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Ukitaka kunitesa sikuzuwii ila taratibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio! Moyo wangu, moyo wangu uendee taratibu, Ukizidisha waniletea masahibu! Usiku silali ukiniuliza we ndo sababu, Taratibu basi utaniuwa mwenzio! Moyo wangu, moyo wangu unauadhibu, Basi fanya japo taratibu! Niondolee madhila yaliyozidia hesabu, Utaniuwa mwana wa mwenzio! Taratibu, twende taratibu basi taratibu, Nitese tu kidogo ukipata sababu! Ukizidisha moyo wangu wauharibu, Ukizidisha utaniuwa mwenzio!

You may also like