King Said

waniita 💓

King Said
waniita 💓

22 Plays

22 Aug 2022

Mfalme on the beat, Anita waniita Anitaa waniita x3,waitisha watisha kitaa, wasee walalamika sana sana unamalingo wewe, umeumbika wewe kweli chunga wimbi chafu lisikubebee, njoo x2 nikufundishe jinsi ya kupenda uanze kwangu mimi, niliandaa hii sharehe kwa ajili yako yako, Anita waniita Anitaa waniita x3, waitisha watisha kitaa, wasee walalamika sana sana unamalingo wewe, naam naaam kwako nimetulia siwazi Kuwa na mwengine, siwezi kucheat mpenzi ni wewe tu uko moyoni mwangu mwangu, mi nishakupenda Kuja Kuja sahii tucheze, tuwe pamoja /kwa shida na furaha/tustahmiliane pia, Anita waniita Anitaa waniita x3, waitisha watisha kitaa, wasee walalamika sana sana unamalingo wewe, umeumbika wewe kweli chunga wimbi chafu lisikubebee, nipendenipende leo kesho pia, ona ona najitahidi kukuonyesha ninavyokupenda mimi, niliandaa kila kitu kwa ajili maisha yetu ya kesho, siina haraka nilijiandaaa mpenzi mpenzi wangu we ndio chaguo langu, Kuja tupange maisha wewe ndio nyumba yangu, wewe mrembo mpole tabia njema unazoo, Anita waniita Anitaa waniita x3, waitisha watisha kitaa, wasee walalamika sana sana unamalingo wewe, Anita waniita naomba tufunge ndoa.

2 Comments

Leave a comment

26 days ago

Respect 🤜🤛

2 years ago

You may also like