Kapa Chino

Fashion (22:44)

Kapa Chino
Fashion (22:44)

6 Plays

23 Jun 2022

holala lalaaa holala laaa cheki ninavyo fulo tulia nikuonyeshe show haya mambo si kitambo tunafanya mambo tunavinjali na walembo tena kwa majigambo nikiwa nazo natumia sibakishi hata mia weita leta bia ni mwendo wakujiachia kama nyasi zipo basi msisite kubiwashia kusmoku minasimoku hata konde anakimbia

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

holala lalaaa holala laaa cheki ninavyo fulo tulia nikuonyeshe show haya mambo si kitambo tunafanya mambo tunavinjali na walembo tena kwa majigambo nikiwa nazo natumia sibakishi hata mia weita leta bia ni mwendo wakujiachia kama nyasi zipo basi msisite kubiwashia kusmoku minasimoku hata konde anakimbia

You may also like