xhuller
xhuller

life long

life long

5 Plays

16 Jun 2022

Toka la saba nimeaanza kuvuta siggarete skusubir ningengoja ata kugraduate from now nina run the city nikimeditate mtaa kwa mtas nkikatiza people they hate me! ninaona kwanza nlichelewa so please nadhani utakuwa hujanielewa nilichonyimwa bas we umepewa men nautumie elimu uliyopewa yeah! wanazani nimekuwa tofauti walitamani kunivesha ata suti kuna wengine waliniombea ata umauti en now nimechange sasa me tofauti you know nakurespect nafanya kitu ambacho hukuexpect ngum tunafanya but we never sweet look from now naishi mbezi mjengo safi na ndinga nimeshavuta kwa sasa hawaniwezi mpambanaji ukipenda niite fighter

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like