Snop war kayanda
Snop war kayanda

I'm Back (20:08)

I'm Back (20:08)

39 Plays

21 May 2022

Wana nipo mbeya nimechili pande za mabatini jioni nitaenda kwa sista ikuti Nipo mbeya joto lá dá lishanichosha njoo utanikuta ilomba au mama john nipo zangu mbeya green city kona zote natoboa toka kwa mbilinyi kwetu pazuri mpaka canival au tukutane mbalizi jeshini mpaka mawelewele place furani za kalobe Iyunga tuvuke road tutokee nzovwe tukapige kitabu mtc madogo wanaita must nipo mbeya city súpu nakunywa soko matola kisha nashuka zangu stand kuu uhindini, sabasaba sangu, side, mpaka soweto Wapi twende niambie maghorofani, mahakama kuu kadege, mpaka meta Vanny nipo mbeya njoo fasta mwanjelwa au kwa shangazi lumbila Iwambi kwa Bíbí kona zote zote nazijua nikisikia uchovu nazama zangu tukuyu au kyela möja kwa möja matema Home sweet home mbeya uliza ramani kama mgeni usije ukapotea kama unapesa twende zetu mbalali tufike mpaka madibila kisha turudi tutokee ubaruku ture zetu mbuzi ná michemsho ya kuku Au twende chimala wauni wanakuita chilee tukapande mpunga raha zote zipo huku kalibu mbeya wana ukifika chimala nicheek nije kukupokea nikulete gheto kaficheni gheto liko chocho huwezi fika kama mgeni hata ukipewa ramani VANNY KAYANDA KALIBU MBEYA

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like