mp

51 Plays

16 May 2022

Nikukumbuka nilipotoka, Apa nilipofika, Ni kweli kabisa wewe mungu ni baba Mateso kunyanyaswa moyo kuumizwa Sikunyimwa chakula ila upendo nilikosa Mbele ya macho yangu mama yangu akanyanyaswa Sasa angefanya nini na akuwa na pesa Machozi aliyo mwaga kila mda nikikumbuka Yanamifanya ni wachukie watoto wa mdogo wake mama Mama akaniambia baba kufa kufana mamako sina kitu na saizi sina maana Kila kitu kilichonifanya kuwa na maana niliuza nipate pesa niweze kutibiwa Sasa urithi wangu saizi umebaki ni kusoma Soma sana mwanangu nakuaminia sana Usijali wanachosema vya kusingiziwa ni kawaida Wewe ni mtoto wa kiume pambana MAMA Kwenye maisha waeshimu sana mama Yeye ndo amekutoa Amekuweka tumboni miezi tisa Mama ndo kila kitu Mama ndo kila kitu Sikia story hii Asubuhi umeamka simu ya mkononi inaita Mdogo mdogo unaenda kuitazama Ooh my God kumbe mama ndo anayepiga Shikamoo mama Marahaba baba za uzima usante sana sana ile pesa nilipata lakini haitoshi baba tu kutuma pesa fanya upate mda uje kuniona, Unaagana na mama simu tena inaita Mpenzi anapiga hanaanza tu kulalamika Napiga simu yangu uko bize unaongea na nani useme labda kama umenichoka Mama anakuombea kila siku Mpenzi ana kublem kila kitu Na apo amepiga hiyo simu ili akwambie pesa uliotuma ajaiona ya kutolea Sikia

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like