Snop war kayanda
Snop war kayanda

Something like (09:46)

Something like (09:46)

73 Plays

15 May 2022

MGAGA WA MICHONGO Mganga ajigangi ila ye anajiganga... Kabila ni mlangi ila yeye anaishi tanga..// Si mshamba wa mavazi anatinga pamba na moka..// Ukienda kutibiwa ubebe panga na shoka...// Soka... Arsenal Baada ya jana kufungwa..// Nkakosa...million mbili nikaona nipate chale..// Si unajua kuganga...kwa kubeti nayo kazi..// Nikaenda kwa mganga...ili aniweke wazi..// Wapi nimekosea...miti shamba nitafune..// Niwe best kizombi ili muhinde nimkune..// Nilipoelezea shida mganga akavua shati..// Nikiwa na mshangao akaanza kutoa masharti..// (Mganga) Nimeanza fanya hii kazi toka nipo sumbawanga..// Ukiacha nazi mia uje na mkojo wa mamba..// Kipepeo mwenye bikra na mapembe ya nzi..// Ukikosa kenge taila uje na chura wa mvi..// Kama ukishindwa basi uje na nyoka shoga..// Udenda wa paka alouacha kwenye mboga..// Au mchwa mjane na chawa mwenye mapengo..// Ukifuata hayo masharti hakika utafanikiwa.... Utakula jackpoti na vyombo utahadithia..// Duuh uyu mganga huyu..

2 Comments

Leave a comment

2 years ago

👽🤙 Bars: Great 🎉 Delivery: On point 🎯 Impression: Great 🎉

You may also like