mwamba

bﹰTester

mwamba
bﹰTester

78 Plays

08 May 2022

I Beat im Ah ah aaaaah Nicheki nakuchek...mi so rafik Washenz waku underestmate ....npe haki nkupe haki...toa beat nipe mike...kweny kichwa hili beat halitoki..napenyeza napenyeza kimyakimya...mpaka kweny kina.. Nkamuliza Vp d mbona....nmekuja toka long tym...nakuona kwa kona uko alone ...vp twende home tuka kill tym...ulisahau kuna killed tym Ulivovaa tu siwez jilaum...lakini huna raha najua unajuta kulala na kila mhuni.. Umechoka sasa hakuna wakkupeti...unalala corridor za guest...let mi ndo mkombozi...kukutoa kwa shimo la uzinzi...nikupe usingizi...ulale salama coz hyo brand ya salama wanataka kukbrand ushind wa ngoma....funguo mdomo jaza dozi...ARVita...vita ya umaskin nmezaliwa kwa slums kushnda na vibukta bila shati...so usinitshie kunifuta kazi coz even those tyms nilikuw happy na life likasonga......nawatafuta wanaonizonga...everyday wanataka niwe chni...siku juu nkichomoza...wakwanza kukajagwa kwa kichwa ni wewe wakwanza...kwa hili tundu sipiti ndo maana navaa mship coz nina big pipe...hizi vibe zko ndani ya vinasaba...so weka ni weke kama we ni  my type....niite  mdingi mwenye kubwa  naekutaftia shule...na kukuchapa mbo..ko pale unapochezea shule...welcome welcome..zisikufanye ukafata huu   upeo..nmerudi tena nikugeuze kitoeo...hata taa zingzma na kula kwa giza...sorry sis...najua ulipambana...jithada nyngi kuishi kama house girl...kula kwa kona..vikibaki  kisa shda...somtym ulibaki ukilia  peke yako kwa kona...huyu jamaa kakuita wewe dada..akikujaza maneno na matumaini...kumbe ni njia akuingie moyoni....six tyms baada ya kukutumia kasema hawezi kuoa sababu hujasoma ...umerudi kwa kona..sorry coz sijawahi jua uliyoyapitia...coz wameshaambiana hufai kuoa 7bu wote wamekupitia na shule hujasoma...si kosa lako lako..kiukweli hukumbuk yupi ni wako...kijijin wanapga simu kila mwezi..wanataka ada  ya asha na Azizi huna jinsi unatoa ukijua some day wakisoma watakuokoa...now nipo kwa hip hop..na sijui lini takuokoa...coz najua still uko arabuni...oh oh Nafeel nafeeel...ur pain

Be the first who leave a comment.

Leave a comment

You may also like