Issya

wanangu

Issya
wanangu

14 Plays

28 Mar 2022

yeah yap yeah aaah you ga me thinking utamaliza bando wanangu wengi c matajir wa pesa ila kwa roho matajir wakubwa sana nashukuru mungu kwa kuwa alitukutanisha kuishi na watu kazi na kazi yetu ni kujengana. toka day one japo feck wako pia any way wanangu to be the best you must be to handle the work to be the worst pale inapowekwa nia njia upatikana hata kama wakibana yeah yeah yap you ga me think utamaliza bando wanangu tunagombanaga tunapatanaga c tupo really muda wa kufeki atunaga leo nawaambia kitu wanangu munanimotivate nina elevate maisha ni somo munani educate na ndio sabababu ninalove kwenu wanagu hot punches tupo humu ngumu akuna majungu kuna wana wakiwaki hao sibengi nao tena story zao ni za mademu kila sahemu you ga me think utamaliza bandoo nawa nawa wanangu sibengi nao tena story zao za mademu nimewatema tukipata day one tunakutana bar sio mbaya mara moja moja kula raha tukikosa atuna rawama na mtu tunapambana

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like