Masso rk

free style part one

Masso rk
free style part one

98 Plays

27 Mar 2022

#masso fighter ukijiona we ndo mkali basie ndo king wako we nifat ndnx2 nikuonyeshe nilivo moto nakabili changamoto yes big na ndogo ushindani na vikwazo ndo vinavyo nikomaza now nazid ku plan usiombe nione kipaza nikiskia tu hii biti mistari inanidondoka kichwan nimejaza tenz na mistari zaidi ya buku natema madin ghali we kwa kina tafakali usije leta ubishoo na shobo zako za kingese nawaona mnachanachana style zenu za ki locai nawacheki nawachola wote bado wapo low me ndo forward mwiba nasi hofii kua butu natema ma verse kuntu si shindan na wenye gundu nakuchimba kwa mikwala mbaka unatoka manundu ukitaka shindana nami ni kaz ngumu zaid i kuuza chin mtt wa mji nlie kulia uswaili we bado jogoo la shamba na huwez ukawika mjin yani ninja kama mm stishwi na mtt wa juz na naweza kupambana zaid ya unavyonitizama nshawapiga tatu bila ndo mnakumbuka kubana nahii ngomaikisha waka sio rahisi kuizima so wapuuz hamna maana tuliza moli dogo usipige kelele punguza mzuka wakule nahili somo ulielewe ludisha fikra za kule faster dogo usichelewe ipo wazi me ni hatar rapa mfunga kazi sinaga rapa mpinzan toka enz nipo kitaan nachana verse za hatari na kill zaid ya vitani

2 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like