Collo

gangula

Collo
gangula

19 Plays

25 Mar 2022

kijana mzuri sjui mbna wananiita gangula sifvck na wase lazy daily nasaka io mulla hkna ujanja nmekelea wera kiMunga shukran muumba sjaibit fresh asfvck na nmedungia mtumba nahema kwa jua alaf sembe naifinyia kwa nyumba on the come up,hakna window of opportunity inabidi nmepita na ukuta early riser au sazingine nabonda napiga wera usiku kucha nakaanga rada,nlizubaa once pekee na ni io day ulinikuta mi huroll na mbogi,lkni sna sna one man army nlirealize kidole moja inavunja chawa ukiifinyia chini na kucha ukipin location nakuja mambleina inabidi mmechuja

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like