demo

7 Plays

24 Mar 2022

Naflow back nipo zima nipe nipe wima sifa kama kuna black kwenye nyeupe nenda pole nikukute, chana nikusuke bby inamana sina mana plz nikumbuke nichemshe mpaka mvuke nipe nucleur niripuke sasa na bandana Naflow verse kwenye buke tema mpaka cheche nafeel nivute master. lee ubingwa sio kwa vuta nikuvute chinja nikitinga na hizi ngeli za kisee?, pitisha mifugo kwenye mbuga niwachunge nna vitendo sina promise kama sera za wabunge nataka niwape stry masela na wakongwe kisha watambue me besela kwa vidonge wanasema me mkali na wala kisa sio pombe cheza masela cheza.cheza kilaba cheza cheza isa cheba cheza cheza gija gija chezo master lee plz cheza#2 . ni gedo khanRap, rappers niwe right rapper weka verse rapper niliecompensat harakati changamoto kwa ma economecs najifunza kusamehe nibakiwe na conscious free nipo hide bro alinambia system iko corrupt dawa zinalevya kata mafua na Colgate. ( am the father of rap…) nina consequence speech, niko confidante snitch hata umwite mkali wako bado hatoki kwenye beat, sikosi sikwepeshi mikosi sio mwepesi sina swagger kibitozi nikiwacost soma kesi nkupe stress, mc tupe jezi shuka benchi mistari michafu ordinary kwenye ngoma na mistari nnayochoma utasema nimechora kwa bikali, nna free style ama style ya bure mistari kibao ka’ daftari la shule, kila verse mada ikumbuke sio mwepesi ile kifala bongo lala usumbuke, rap terrorist rap rap pedeshit bado kuitwa veteran nadrop baunce kwenye beat, cheza masela cheza.cheza kilaba cheza cheza isa cheba cheza cheza gija gija chezo master lee plz cheza#2

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like