Gedo punch
Gedo punch

mapenzi long safari

mapenzi long safari

14 Plays

24 Mar 2022

gedo oz beat king rapper naongea gedo punch master lee usiamini unacho sikia mengine sio kweli dont tel me hata wewe imekutokea? jaribu kua free pole sana nafkiri umeumia na gonga verse kali sina vina but nazidi mizani bull power puh na lala vitani Kama Mapenzi ni pesa,matajiri wasingeibiwa Kama mapenzi ni ufundi,masikini asingekimbiwa Kama mapenzi ni hatua mbona wengi wanatembea Je ni nani huyu mwenye hatua nzuri,kwenye mapenzi Hivi ni nini au tamaa, zinazoponza .nakwanini unaingia mazimaa Sababu toka jana,alisema anipenda sana then eti alisema mi ni wakwake daima ha HOOK Wengi walalama kila day,nimeamini leo kugombana na kutendwa bila pay , hasi matokeo *2 VERSE 2 Mapenzi mfano wa gari, aliyeliunda lishamwua Sometimes kama ajali, inapotokea huwezijua Mapenzi mfano wa sukari, moyoni yakikuingia Na usiombe waku shoot risasi paah ya mapenzi, utasema sana unaonewa. Moyo na hisia viliponza kupenda, japo nliona wengi wanatendwa Wanakula michongo kinyama , wanakwacha unakwenda na kama huridhiki  na mbona hujasema  ili niweze kurekebisha  ilifaa ni mambo shwari  ulifaa kua mke kwangu  na kukusifu kwa wazazi  hujali tena hisia zangu  sijui tunapokwenda  lakini najua tulipotoka kutoka sitoki moyoni nimetekwa kukuwacha siwezi kibarua ngumu  sijui ni nini ulikosa kwangu usihofu najua si rizki tangu ila nlivo kuona nikazani we ni wakwangu siwazi kukusalimu nakwanza naishi peke yangu umeniteka ndani  umenipiga na faini sasa plz dont find me nachumia kwajacho kitakuja kivuli ntakuaombea mola akupe afya nzuri nlikupenda kwa dhat nkakupeleka kwa wazazi nkajua mazima kumbe ni long safari nishushe hapa hopo ntapanda gari nyingine chukua ulicho nacho kawape watu wengine eti skuma damu we si machine usiwaze sana me niko vile vile HOOK Wengi walalama kila day,nimeamini leo kugombana na kutendwa bila pay , hasi matokeo *2*2

2 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like