Issya

harakat

Issya
harakat

26 Plays

24 Mar 2022

Naamka asubui naenda zangu kweshe mishe Nasalimia na wana harakati tunafanya sina muda wa kupoteza nikikujibu nimetereza nekataa kutumwa najituma me sio mtumwaaa shida, kama, zingekua sumu Binadamu wote tungekufa Endelea na majukumu punguza unyamwezi majukumu yamekuzidi kama faza kama braza kaxa mwana akuna was kukumbusha ukiendelea kujirusha kiingereza cha nini mnatuyeyusha siwez kata tamaa kwa njaa, ya siku moja, ukinipinga, uje kwa hoja me sio muoga changamsha akail kaa fikiliii acha kulia lia kosa lako kili kuna vinginesiwez kuvisema kama huna rymes ukiniona kaa kimya vesi hadi vesi niadim madin nayozindua mtaani ni adimu sio siri siipendi kumi toa sifur niwe wa kwanza one love man mbishi toka mama kanizaa nakuambia kaza mwana oya me ni mkali huu moto ni atali eti unasemaDar kuna joto we mototo leta punch kali usilete ulocal ey can yuo hear me vesi zangu ngungu bongo mpaka niger na Hussle zangu ajar atar kama tiger me ni ninja mgumu kama tyga yes yes niite tyga hii sio kawaida nafeel beat naibaka au kawaida

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like