Masso rk

no way

Masso rk
no way

44 Plays

24 Mar 2022

masso ni msuli nakaza zaidi akili ni nywele kila mtu na zake usiforce iwe sare no way no way x3 no wAy I think no way kila biti unyama iwe rap iwe trap mzuka k_i shede so kunisimamisha bado no way no way x3 ithink no way misitu minene,milima mikali tunachanja mbuga nyi. bado mnalia no way tangu kitambo mnachana izo bato nilivo funika sijui nani waa kuzifunua bado sijajua hu moto ni hatari mkali yan zaidi ya jua hakuna pa ku sogelea yan bado no way no way x3 no way i think no way ********""" masnich kibao wanatusnichi but no way kueka vizuiz wengine masela kabisa machizi ila pigo zao ni kama maduu wanapigo flan ka za dada zao ni mwendo wa kubadili gia tu back ni no x2 ukiona hii kitu rahisi jalibu ku test unyama kibao so niger's bye 👋 mwendo wa tungi ki2 ni dedee jiti la kwangu niger hatu shere kwanza kah mbali usinisogelee mana nkichange nablock the way na mlipofika NajuA hapatoshei na ukim caall boss sim hapokei so kilicho baki kwenu ku forget kama mitungi sogeza kreti wala usijali bilii niko fresh macsnich kibao wana tu snich but no way kueka vizuiz we ngine masela kabisa machizi ilapigo zao nikama madduu wanapigo flan kak za dada zao ni mwendo wa kubadili giatu back ni no x2 yeyeyeyee m_a_ss_o kwanza ka mbali usinisogelee

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like