fazer

6 Plays

21 Mar 2022

ni true sipo mbele,nipo nyuma kwako. wako nyuma ka wafuasi Reason ni daily maze, me huwachoma ka pasi Wanakam so slow, cheba ju track iko kasi Sahi namek doh, jo mtu wangu niko kazi Mtaa naenda na maziwa ju corrupt game mi ni mzazi.oya staki low rap kama una pmzi. weh gedo now ni fazer then mzazi Cost ya kila kitu imepanda, Ebu enda kilakala mtu wangu uulize bei ya mnazi.

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like