Gedo punch
Gedo punch

jiangalie cheba

jiangalie cheba

9 Plays

21 Mar 2022

Mbaya nawakilisha isa chebakwanini unabisha/ kwanza wewe isa umerudi mawinguni.? haha ni picha la kutisha. Messiah anapofika/ Na sina ubaya, nimeutumia mpaka umekwisha/ So, hata niki – retyre nitaimba kwaya ya kanisa/ We ni Big screen star unaetisha / Mi ni sixteen bars za sifa, hapa u – star unakwisha/ Muda hausimami, masaa yanapita/ Maisha ni movie ya kila siku, mi ni star kwenye picha…then skia mimni zaidi ya teacher..nawaza sana na chana kutwa kucha jiangaliedogo

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like