Gedo punch
Gedo punch

jasho langu

jasho langu

17 Plays

21 Mar 2022

weeh weeeh mi nawasha yeah skia mi hustler mi ni professor wa verse kali kuhusu maisha master plan gedo khan super man ni bad man kwanza tindi kali nyingi natisha usoni sinaga dharau kwa machizi maskani natafuta njia sikwami yeah utanfikia pambana kizani natafuta peace sicheki na nyani alafu nina extra thinking brain pressure nawaza sana kuhusu maisha. na struggle hard na feel na pain plz sitaki blame thiz is not a game najua unaniamini sa skia ni bora kuamini mungu asikubip shetan noted plz hefadhi line mi sio kabaiser yani babilon me ni wa ibada sio man wa billion weeh weeehhh maisha ni mapitoooooo mapitopito ya kila one bado upo single ama we badi man nasaka kwa jasho nashkuru changu kipato amini mungu wewe fanya mzaa! utarudi mwenyewe dont panic na flow kama mwewe hairusiwi kulima wala kuvuta wanangu wamenielewa punguza kusota majani cio dili unaweza kungoka una roll sana unakaribia kua pusha ..tutakupoteza na bado tuna kuhitaji tunakuombea kwani mola ndo mpaji stop vita wangangu wa Urrusi lets live maisha flani very size note na verse' east pekee plz dont chase time dont waste one love wanangu wa mbez naingia ndani ya pambano nafunga wangu mdomo sababu naogopa waliomo nao wamo naheshimu kila mtu najifunza kila somo tukazeni tutafika maisha ni njia ya kuhangaika lift gani unazani itakufikisha amini zangu line nachana then nasikitika weeh weeehhh maisha ni mapitoooooo mapitopito ya kila one bado upo single ama we badi man

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like