Gedo punch
Gedo punch

salami darasani

salami darasani

19 Plays

20 Mar 2022

Hii ni kutoka Kwa gedokhan na jini kilaba mmarekan. Kwanza ni zenu salamu Maisha mafupi na tumeishi Kwa amani Salamu zetu za zati Kwa wanetu darasani Niusumbufu Kwa wale machinoo Tafadhali be origino Msalimie minjino Salami kutoka Kwa medi moh. Mtani wangu benge haujambo? Amiri mbonde nawew upo? Amkeni wanangu wa skuli Nawale waleiozania sipo Wanangu wa bwenini chuse na yakuti Jemedari msauzi kaza Buti Kuwingwa na mabula masela wa majiko Abman super power pamoja na mwaliko Darasaa kubwaa sana kuna madada na wavulanaa Mdada anaitwaa zena kitabu anapenda kusoma Salami kwako sabrina na unajua ninavo kupenda Salami mpka Bombay Kwakina shombe Ukimtel nakupenda anakujibu kichina Achana na farida yeye mishe mishe kila mda Kuna huyu gadau mtoto wa kilakila Akumbukwe yakutii alisoma awe poti Eeh achana nakipeza shule anakuja siku kusogeza Mwalaba yeye siasa nyingi hostel anajikuta dingii Mishe nyingi Mzee wa kutoboa secrete Pole zote ziende kwa issa juma isa na walimu wa hesabati. Siyo kama na wasemaa kuna uyu mabula walimsingizia ana ngoma Na khatibu wakamzushia anakorona Na juzii tu mara thabitii kaoa Ommy kondo et nae kafungaa ndoaa 🤣🤣 Uezi amini shee dula anapenda chinii Osama nikatoto mda wa kusoma yeye ndo kwanza ana chill Kuna mabishoo wengine ni makomandoo gedo Feisal abibu alipata tabu mbele ya daudi mwarabu Semaa ili Darasaa oyaàa ilii darasaaa Daraasaa

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like