Gedo punch
Gedo punch

nimesha fall sasa

nimesha fall sasa

6 Plays

20 Mar 2022

Cannibal) Mi natoka kwa mtaa, flan hivi far gedo khan master plan.jitu balaa. usiogope najitambulisha bhana. sijulikani lakini naskuma punch balaa. weh ni gedo khani mtoto wa kitaa. na-work stronger Ghetto superstar ghetto msela nipe donga Sitoaibika Streets zinabonga Machizi ni stroy flani hivi yamenikuta mengi nabado mshindi kuogopa. ndo akili za pimbi wake up nabonga kichizi ni professional wa kuwafanya wasizi siwazi ogomvi i mean peace weh do you love me sjaskia unamaanisha wawili ok nipo tayari kuanza safari mapenzi sio utoto ni ukosefu wa akili ndo nisha fall sasa maskani maisha flan nimeacha ball sasa naishi kwa imani naanza kuchana kwa verse kali we naongea i dont fear unataka love na money ntakupa pia sijali upo mbali. nitagaramia kwa madam umenipa love nazani umetulia na then uka kiri watoto utanizalia sasa na flow kibabe na punch flow za mbape kama soccer me ndo zine dine zidane dont talk sana ..karibu pangane ndo nisha fall sasa maskani maisha flan nimeacha ball sasa naishi kwa imani karibu nyimbani wazazi baba mama tufunge ndoa tuishi maisha flani nasio yakuboa tuishi kwa amani natudumishe familia si unajua ndo nisha fall sasa umenipa vitu flani za mababu walio pita nidhamu na yako desturi .uzuri na zako tabia huna kiburi. marashi unanukia. we ni mtoto gani au wa kimalkia? ndo nisha fall sasa maskani maisha flan nimeacha ball sasa naishi kwa imani

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like