Joachim Francis
Joachim Francis

chim:-siwazi01

chim:-siwazi01

14 Plays

12 Mar 2022

siwazi kuhusu nyodo sina shobo za kirari chim nipo nomo unapo fata jiadhari mwenzako ashada data ataki skia hizo habari utapo fam chim juwa tupo high chim kitaa nimewacha wame zubaa, kila nacho fanya now guyz wanafurahaa, hakuna anaye nipinga wala kuna anaye kataa, mtaa nao nimeufanya ng'ara kama taa kitambo ni mob ilitaka ni fuck phan alikaza hakuwapa nafasi snitch hakuchoka alikaza nisuch na game wakachonga ili mradi wani truck si soon walincatch na picha ikapigwa mtoto akapewa ikaleta na vita nigga nikaclea akaniambia ni fine time haikupita akamix ma blood si ndoa ikafungwa, muuni nkadunda vicheche vya ng'ambo nkaviacha navunga, wakanza ntenga, matext kusema, matusi maneno machafu kutema chim na mwana ndo story inatrend snitch wanakaza wanataka pretend amini unkifata utabaki kufel chim ndo mimi ni king Dubai amini ni kwamba snitch ukifata utakuja potea usipo pataka rule ya kwanza usinifate ni mbaya rule ya pili naa vibaya nataka nawambie wote mnao fata nyendo zangu mtulie hakuna mtacho pata bila mimi mjuwe mimi ndiye chim king phan mtambueee hii ndio a inafaa mtambue utapo mwona pwaa inafaa umkague

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like