Butimaker
Butimaker

kanga moko

kanga moko

28 Plays

23 Feb 2022

Kanga moko ndembendembe, Kiwembe, Unagawa kwa offer za mbegu, Hupoi mpaka kibopa imkamate, Mtoto laini unalegea kuzidi mate, Harakati zako peku peku bila ndala, Guest kwako ofisi sio nyumba ya kulala, Hatari sana mchana kweupe unadanga, Huchagui mteja unasepa hata na mganga, Bila moja ushanita dear, Nikikupa na chipsi Ubavuni kwangu unasinzia, Ukiona cash ndo kabisa getto unaingia, Unajivunia Eti unatembea na ofisi yako Wenye tamaa ndo wateja wako, Eti bila condom bei juu, Na ikitoka kwa show kapime tu, Maana unasambaza ngoma kwa pesa, Unalopia penzi kiwembe, Ndani ya show anakupa mauno pambe, Na nyongeza ya umeme, Uende ukafie mbele

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like