bseven

B seven_mama

bseven
B seven_mama

4 Plays

23 Jan 2022

mama nakupenda sana mama weww. hi nyimbo yako nakuambiaa.. sifa zako zote me nakupatiaa.. najua unanipenda ndo mana uanancare.. hujawahi kunitenga mwanao unanjuaa.. meng nakosea ila we unanvumilia.. makosa najfunza siez kurudiaa.. nngekua na uwezo walah nngekujengea.. mzk wang haujakua me bado najiandaa.. niombee kwa allah kabla hujalala.. dua zako n zangu siez kua jalalaa.. corasii..) najarbu me kuyafikia malengo.. ili kesho yako iwe ya upendo.. siez kujimix kweny club zakihunii.. japo kuna mda hua najimx na wahunii. ulipenda mwanao niwe na malengo makubwa.. ulinilea vizur ili nije kua mkubwaa.. sasa nimekua nayaiona thaman yakoo.. umenifundsha meng mazur kuliko mwalim wako.. niache mambo ya starehe nktaka nfke mbalii.. maisha na hatua nianze moja kwenda mbilii.. me nasemaa asante kwa malezi yako . tena asante sana baraka zangu ni zakwako..

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like