siren

58 Plays

23 Jan 2022

manjege wakwende ni mathegi daily tunadishi githeri wao wakiflex na marolex. naskia siren inabidi tumesafisha na mabrethren. shadda ilinipea inspiration nkaeradicate my fears. juzi ghetto tuliwastone ka stephen wakahepa mabanga tukasepa na maganja kujitepa. hii ni letter ya magangster to the letter ntazidi kuleta mabenga mtapenda nko na peace still nko wima na ukinidiss ctapree nlizoea critism. nkageuka critical na usiku crickets zikicrick my consience inafloat ka hyacinth nko higher itabaki wameguaya mambleina ju nko maduya na natoa track faya. keep your track usiwailose yourself bro nko close na my dreams imebaki tu nzichase paper chaser razor sharp na ukileta ujinga ntakubeat to pulp. mahali nmefika ni jah ndo darajah no wonder baraka zmejah mih ni ninja nlikula yur ngeus wanja .nko na ganja kwa kiganja kitu nakosa ni nare tunabanjana na baja kidogo niiwashe naskia masiren ndo hao manjege mamende .spray izo mamende tuko rende haina haja ya kuzima maganja.tutawakanga mabanga.

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like