rush

32 Plays

23 Jan 2022

nlipata rush afta kusmash. nka nko bash daily mashash. unaeza niita samurai Jack venyyenawaslice nka nmeivisha dice na life c dice lazima nisacrifice. mayut wameishi in predicament ju ya kudream big alafu wanafail to rise. gava haijali ukikosa kujiempower akuna msee atakuback up. umeikua na sweet memories ukawish kurudi in the past na ni ya ndwele move on ama utapata mandwele ka upele. mbwakni ameshinda akipiga kelele akitaka kufikia kilele na aenzi anza from up bottom line ni kujituma tuliza yako pupa from pulpa

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like