bseven

B seven

bseven
B seven

4 Plays

20 Jan 2022

mr big zero. mr big zero... me nakupa big zeroo.. mr big zero.. me nakuita big zeroo.. gutch unazovaa zimezagaa kariokoo.. wkt hauna pesa unajiita bishoo.. unawaza mapenz na umekaliwaa koo.. ukiulizwa unafake unakosq paka shoo.. uko hoi, taaban.. utashindana na nani. ? kama.umekosa mbinu achana tu na fame.. kuna vng kufanya kama business man.. achana na muzik we dil na kampuni.. unajiita c.E.o na huna hata ofisii . meneja anailia njaa kampun unaifilisiii.. unalalamika mapromota wamekutupa.. wkt we mwenywe ulitenga ulivozipataa.. maskini akizipata matako hulia bwata kilichokupoteza ni ulimbuken wanawake na bataa.. sasa chagua urud nyumbanii.. au upaukuliwe tu mjinii.. usupastaa umekupoza.. ukafanya yakijinga ukadai n kikii.. na kilichokufelisha ulivamia mziki.. maisha yalikunyokea ukalijua jiji.. ukwatreat wazaz kama deel za ganjiii.. ukabadil tabia miksa madem.. ukakua n msanii ukabadil muonekano.. ulikua unanyoa ukapaka rangi kichwanii.. ulipata umaarufu mkubwa sio sirii mpaka wtt wadogo kwako walikirii.. kweny magazine daliy n front page.. redio na tv umeziteka we ndo gwjii.. gem lina change be humble to the top.. kumbuka umarufu smtm n uchafuu..

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like