bseven

B seven _bado

bseven
B seven _bado

12 Plays

18 Jan 2022

mjomba mama nani baba nyumba ndogo wtt ada mama bdo bill kubwa mbuga zipo .nch kubwa tatzo deni uchumi mdogo.. nchi ina changamoto wasomi kazi kwenuu.. hapa n story tyu kula mtakula kwenuu.. ujinga mwngi mashulen walim wako dozi.. vijana hawan kazi wanaishia tu wanasizii.. nyimbo bora bia tamu... prinsipo somo ajira mtaan.. chuo kikuu huna mtajii.. biashara ngumu kula mitajii.. serikali makato juu.. mafao yako madenii juu.. machinga bado n michosho.. maaskar nao wako macho.. mjomba sina hela wtt wako shulee.. nikopeshe ata buku wakirud bas walee.. daah maisha yana ngaz ss tuko chini .. wao wako juu wahun tule tu majan.. serikal yrtu iko wap mbn mamb badoo.. wtt badooo . akina maama badoo.. wahun badooo...

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like