Whitesuit
Whitesuit

mapenzi

mapenzi

84 Plays

06 Jan 2022

mapenzi ni matendo , sio sura shepu mwenendo , ila kwake cjapata upendo ety ananipenda afu kaniacha kisa skendo , kiukweli nilijua wangu wa uhalali kumbe magendo , yaani kilasiku ni msondo na mapondo , ila akae kaaakijua nimepata nondo ila mwambie na enjoy tena haniboi acha nicheke wanaosema love is everything , make sure they don't see something , me with you is different how are living , how do you feel 'nothing' me sio kama umenikimbia , ila nimesikia , acha kusifia , eti nipeta wakunipatia , jua sikumoja utalia , utasema nimekosa najutia , ila nafasi utakua umeisha ipitia dunia ni nia , ukipania , haiwezi kukuachia , leo nakuambia , tena utayalipia , najua unanisikia , dont call honey ntalia every where , every time , Achana na umbeya , wala usitupe yangu simu

2 Comments

Leave a comment

1 year ago

unyamaaa

2 years ago

You may also like