Footsoja
Footsoja

Djmycol - New year freestyle 2022

Djmycol - New year freestyle 2022

33 Plays

31 Dec 2021

nakukaribisha mwaka mpya kwa verse mungu ametupa uhai kafanya wepesi nai cheki 2022 kwa beat naitest mungu mbali ya visanga na kesi kwa miguu miwili 22 najitupa, asante Mungu tena kwa kunikumbuka makosa nafuta sitaki kujuta sifa nizakwako mwenyezi nakupa Mungu anakupenda uhujangundua uzima amekupa bure hujanunua baraka 2022 kazifungua na Siri za mafinikio kazifunua Kama rose muhando jipange sawasawa mipango iko palepale hakuna oukwama 22 sitaki saresare, moja nasimama maadui no walale toka mwaka jana tulipoteza wengi kwa Corona wengine hawajapona, Mungu kawaona, wengine kawaponya saivi kuna chanjo tunachoma Corona bado ipo na kutoka imegoma mi mwaka huu ndo napanda bei, mwendo wa SutiTai no kukata kei sikeshi bar utanipata hiyo church sunday ratiba ya Monday kusaka pay 2022 huu ndo mwka wangu, neema na baraka karibuni kwangu upendo na amani marafiki zangu tabu na mateso ondokeni kwangu,

7 Comments

Leave a comment

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

5 months ago

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

You may also like