Footsoja
Footsoja

wanangu session 1

wanangu session 1

46 Plays

29 Dec 2021

naikimbiza life nipo low kipesa wanangu wanafanya hapa town natesa sometime time nacheza life gumu nacheka wanangu bila nyie shida zingeniteka wanangu sio makolo Kama snicht hawakufollow wanajua future ndo tumoro, weusi wanangu sio wapoloo wanangu wapo high Kila Kona sio wachoyo Kama nikikosea wananikanya , hebu toa vitu hasi jumlisha vitu chanya Hawa tangazi wanasema Cha kufanya mlete paker raper afukuze Hawa panya young see wanangu sio washamba hawatumii ngaja wanangu ndo wajanja, kwa flow za kibabe ndo natamba bila wanangu kwenye chati nsingeshika namba najigamba mi navimba mtaani, kama mamba natamba mtoni, ukijifanya una gere unione wanangu kupaka pilipili machoni wanangu wapo hata sina money wamekubali kwamba mi mkali kwa verse mi hatari sio ma gangsta ni maraster wanangu sio mateja no ma masta Tamaduni culture sikusoma nao tulikuna tuu mtaani udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi ukubwan wanangu kwenye shida ndo wananibosti wanangu, nikitoa ngoma ndo Wana request wanangu, picha zangu wanashare na wanapost wanangu hatuna shobo hutupendi hatuforce wanangu pamba tunashea na mashati wanangu online kwenye group tunachati wanangu michongo tunashere kwa wakati wanangu wikiendi end Niko nao kwenye party wanangu wana kipindi wanashida zao ndo walikufata Ila wakipiga bao ndo wanakuacha michongo yao Siri kwako wanakulaBata we utajua hujui ngoja wakipata wanao wako wengi wakipapata pesa wanachange haupati hata lift kwenye range dunia Ina mengi, watu na viatu wanao ni manyoka ma machatu, wamemteka my wa mabantu wanao sio watu akili zao chafu fyatu wanao ndo masponsor danga anapesa chafu ukipiga anakuita mwanga wanao pisi ndo wanazipanga we huna kitu life lako ndo majanga wanao wanapenda Kiki machawa wa muziki roho zao chafu hazitakati hata kwa jiki wanajifanya magwiji wanalijua jiji, wanao kijinini walimkimbia Bibi wanao Wana mbanga zao kitozi we una mbaga zako majonzi wanao Wana Kesha bar na matotozi we upo zako geto unafuta machozi ulisoma nao,hamjakutana mtaani, udogoni umeza nao wanakukana ukubwani. wanao ukiwa nazo ndo wanakufata wanao, wakipata pesa ndo wanakuacha, wanao ukipiga piga simu mbona kata wano umefulia wao wanakula Bata wanao habari zako wanazitangaza umepigika Kila siku unawaza ukipiga simu eti unawakwaza wanasema ebu jifunze kukaza wanao

3 Comments

Leave a comment

2 years ago

Yo @djmycol! Waddup. Let's take a look at 'wanangu session 1'! 💥 Your vocals are nice and clear, keep that same mic set up! 🤙 Dope delivery, the track flows real nice. 🎶 You're perfectly on beat with this, awesome! 🌠 We think you chose the right beat for this track, suits your style perfectly. 🎼 This is a seriously great track! Not really much to improve on, this track is really impressive! All the best, The Rap Fame Team 😎

2 years ago

naikimbiza life nipo low kipesa wanangu wanafanya hapa town natesa sometime time nacheza life gumu nacheka wanangu bila nyie shida zingeniteka wanangu sio makolo Kama snicht hawakufollow wanajua future ndo tumoro, weusi wanangu sio wapoloo wanangu wapo high Kila Kona sio wachoyo Kama nikikosea wananikanya , hebu toa vitu hasi jumlisha vitu chanya Hawa tangazi wanasema Cha kufanya mlete paker raper afukuze Hawa panya young see wanangu sio washamba hawatumii ngaja wanangu ndo wajanja, kwa flow za kibabe ndo natamba bila wanangu kwenye chati nsingeshika namba najigamba mi navimba mtaani, kama mamba natamba mtoni, ukijifanya una gere unione wanangu kupaka pilipili machoni wanangu wapo hata sina money wamekubali kwamba mi mkali kwa verse mi hatari sio ma gangsta ni maraster wanangu sio mateja no ma masta Tamaduni culture sikusoma nao tulikuna tuu mtaani udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi ukubwan wanangu kwenye shida ndo wananibosti wanangu, nikitoa ngoma ndo Wana request wanangu, picha zangu wanashare na wanapost wanangu hatuna shobo hutupendi hatuforce wanangu pamba tunashea na mashati wanangu online kwenye group tunachati wanangu michongo tunashere kwa wakati wanangu wikiendi end Niko nao kwenye party wanangu wana kipindi wanashida zao ndo walikufata Ila wakipiga bao ndo wanakuacha michongo yao Siri kwako wanakulaBata we utajua hujui ngoja wakipata wanao wako wengi wakipapata pesa wanachange haupati hata lift kwenye range dunia Ina mengi, watu na viatu wanao ni manyoka ma machatu, wamemteka my wa mabantu wanao sio watu akili zao chafu fyatu wanao ndo masponsor danga anapesa chafu ukipiga anakuita mwanga wanao pisi ndo wanazipanga we huna kitu life lako ndo majanga wanao wanapenda Kiki machawa wa muziki roho zao chafu hazitakati hata kwa jiki wanajifanya magwiji wanalijua jiji, wanao kijinini walimkimbia Bibi wanao Wana mbanga zao kitozi we una mbaga zako majonzi wanao Wana Kesha bar na matotozi we upo zako geto unafuta machozi ulisoma nao,hamjakutana mtaani, udogoni umeza nao wanakukana ukubwani. wanao ukiwa nazo ndo wanakufata wanao, wakipata pesa ndo wanakuacha, wanao ukipiga piga simu mbona kata wano umefulia wao wanakula Bata wanao habari zako wanazitangaza umepigika Kila siku unawaza ukipiga simu eti unawakwaza wanasema ebu jifunze kukaza wanao

You may also like