Bian Ke
Bian Ke

BIAN---A DEAL IS A DEAL

BIAN---A DEAL IS A DEAL

55 Plays

23 Dec 2021

A deal is a deal najua unanifeel ju ya vile nadrill Washa kigode stambui afande akam anihande Gang ilimzima ulidhani drama wacha umama Nilimarry Marijuana mi huwa sijali nikiwa na mali*2 Itaweza sana form ikiivana Watazima sana na wataitana This time nimemuok na ajenda Hii ni ngori nayo lazma utapenda Bian anakuwa mzii over the time Hii scene nageuza crime scene Who the fuck be dealing na snitch U tripping uku utachinjwa Sikuwahi jua Bian nitasikizwa Kwa bank mi nazistack Gang gang 2.6 confetti Yule gwangi kumbe aliniseti Masanse wananisaka kwa mneti Under water mi hawanipati 4:20 mi husonga na wakati Barafu sidai mabati A deal is a deal najua unanifeel ju ya vile nadrill Washa kigode stambui afande akam anihande Gang ilimzima ulidhani drama wacha umama Nilimarry Marijuana mi huwa sijali nikiwa na mali*2 254 ni codi kamili ya kenya Loan loan wat an end of an era Na nimejam nimemuok na agenda First of all mlegalize mavela Maji nikill iyo thirst Kwa mfuko condico za trust 2022 ni dust Chapa muziki no rest Beat ni kutoka west A deal is a deal inawes Buda niruke u next Sipendi kubebwa ufala Ukiniruka we ndio fala Bian huchora Dealings na wakora

7 Comments

Leave a comment

brrrrrruhhh 🔥🔥🔥🔥🎤🤷‍♂️

Let's make these hit 🎯. No stopping. Love it ❤️

fika stuu manze😂⚡uko lit👌🎯🔥

You may also like