Levis Denis

second chance

Levis Denis
second chance

8 Plays

18 Dec 2021

ilianza kama story ya simba ndani ya pori mtoto alivo mzuri kaniteka mwili akil moyo wangu kauteka nikimwona nacheka ucku na weweseka hivi kuna anae mjua? anakasura kaupole kila unapomcheki amefundwa na mkole kwa ufundi hazoeleki tatoo nimchole ili asinifoget licha ya kumpenda tele mpenz akanisaliti jina lake herufi tano linaishia na ia moyo kaniachia mabano kila cku mi nalia naitisha mkutano hadhara kuitangazia namtolea na mfano huenda akanisikia vile ninavoumia asidhan nafurahia nahis nabahat mbay kipi nilichomkosea yule ninamuadmire wengine wanamzomea vibaya wanamuongelea na kumuita Malaya but she don't wana care baby chill down jaribu kufikiri usidanganywe na crown kwa mapenz mi tajir nisamhe my own napiga goti nakiri kwamb I miss UE I need UE I love u nimesha badilika ten mm so player sasa ninachakalik ntakutunz na kucare mi na ww sitochoka wawili kama pair jiandae golikipa kitandani play fair kileleni utafika hata ukitaka mbeya

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like