ufukwe

33 Plays

09 Dec 2021

leo tena mi nawapa habari kuhusu unga wa ugali .. jina asili ya baharii.. unaitwa ufukwe peleka hata kwa mama mkwe .. .. iwe sembe dona swadakta unapata pia kuhusu usafi kwa mashine umechakatwa.. mi na ufukwe kwa samaki au kwa mlenda . pilili nyingi hata kwa mishkaki uki upenda. Najua umeni soma acha kutokwa na udenda . wahi dukani kwa mpembaa . mwambie akupe ufukwe unga wa ugali...

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like