chuga

12 Plays

30 Nov 2021

Chuga ile mbayaa siwezi mess up Kama hunipendi aaaaah aaaah Kwanza nko toes ile chapchap Choka mbaya kama mbaya mbaya Bugi upokezwe majabjab Ukizubu me natia natoa i dont care where you come from Sichukulii kila kitu poa sieleweki nipo simple Tinga mtiti kisha najitoa chukua bichi dungwa chimbo Mtoto wa Hood damu ya kazi sipagawi na warembo Kiwanja bila hela sitokei hizo level tulitoka Nikipenda kaa siezi bei nadunga kwangu naondoka Nala matobwe la kwanza la pili huoni ndani nimekutoka Anga zangu zee ni balaa kunauzwa mpaka boka Iko love kwa wanangu wa ghetto Bichi ngwande tunakaza roho Me ni flegi ya soweto Hasara rohoo snitch unakabwa koo Hizi pande cheza low-key vichwa ngumu hatuogopi Hatupendani na macop G pigo zetu za kidon Chuga ile mbayaa siwezi mess up Kama hunipendi aaaaah aaaah Kwanza nko toes ile chapchap Choka mbaya kama mbaya mbaya Bugi upokezwe majabjab Ukizubu me natia natoa i dont care where you come from Sichukulii kila kitu poa sieleweki nipo simple Tinga mtiti kisha najitoa chukua bichi dungwa chimbo Mtoto wa Hood damu ya kazi sipagawi na warembo Kiwanja bila hela sitokei hizo level tulitoka Nikipenda kaa siezi bei nadunga kwangu naondoka Nala matobwe la kwanza la pili huoni ndani nimekutoka Anga zangu zee ni balaa kunauzwa mpaka boka Iko love kwa wanangu wa ghetto Bichi ngwande tunakaza roho Me ni flegi ya soweto Hasara rohoo snitch unakabwa koo Hizi pande cheza low-key vichwa ngumu hatuogopi Hatupendani na macop G pigo zetu za kidon Chuga ile mbayaa siwezi mess up Kama hunipendi aaaaah aaaah Kwanza nko toes ile chapchap Choka mbaya kama mbaya mbaya Bugi upokezwe majabjab Ukizubu me natia natoa i dont care where you come from Sichukulii kila kitu poa sieleweki nipo simple Tinga mtiti kisha najitoa chukua bichi dungwa chimbo Mtoto wa Hood damu ya kazi sipagawi na warembo Kiwanja bila hela sitokei hizo level tulitoka Nikipenda kaa siezi bei nadunga kwangu naondoka Nala matobwe la kwanza la pili huoni ndani nimekutoka Anga zangu zee ni balaa kunauzwa mpaka boka Iko love kwa wanangu wa ghetto Bichi ngwande tunakaza roho Me ni flegi ya soweto Hasara rohoo snitch unakabwa koo Hizi pande cheza low-key vichwa ngumu hatuogopi Hatupendani na macop G pigo zetu za kidon

Be the first who leave a comment.

Leave a comment

You may also like