Kid Legit
Kid Legit

Kula Kokoto

Kula Kokoto

38 Plays

25 Nov 2021

Kula kokoto kula kokoto Kula kokoto kula kokoto Kaa unanicheki Kaa hunipendi Mimi ni deadly Usimess na mimi Ni lazima nionyeshe solo Kaa we ni hater basi kula kokoto Hamniwezi hata kaa ni ndoto Bars zangu si za kuokota kwa soko Cheki vile mliniwacha solo Mkasema ati nachoma photo Saai natamba walahi si ndoto Dem yuko chonjo na sio ong'ong'o Kumbuka mkinichekanga ile time nikiwa msoto Zile mabling ya steel walahi ulijiona umefika ligi ya sonko Luku ya Gikosh, ulikuwa ukiflaunt, ati mimi nilikuwa nachoma photo Na ile boombox ya 1960 kwa keja ikichezwa kigočo Ilibidi nicheze chini na ilibidi pia nimewalenga God alikuwa na plan kwa maisha yangu nilijua atatenda Saai cheki shawrry wako amenicrushia ananipenda Nimemaliza zile siku za kuhustle zile kule Mukuru wa Njenga Mahater wakule kokoto Teta na uko ligi ndogo Siwezi wacha maboyz wangu bez ya jaba Colombo Niko kwa ofisi kaa Musikari Kombo Kwa, school of rap nyinyi mamono I light the way nyinyi mnafollow Niko on point kaa focal Fuck your point of moral Huwezi shindana wee slowpoke I'm far from average and normal Anapeana mahead maorals I'm so cool and composed Hakuna mwenye ana-oppose Nyinyi mambwa, ghasia, takataka, cheza nitawadispose #keepithunnid #rap

4 Comments

Leave a comment

2 years ago

🔥🔥🔥📈

2 years ago

🔥🔥🔥🔥🔥🔥

2 years ago

nomaaa

You may also like