wale

5 Plays

23 Nov 2021

Wale wale wale wale achana nao.eti wao Wanasema nini?achana nao waache wao achana nao mafafala kabisaa. Wanachotaka wao nikukuona unasumbuka achana nao tena kaa mbali nao. Wewe funga kikebe chako baba. Wale wale wale wale achana nao. Eti wao Wanasema nini? Achana nao waache wao achana nao mafafala kabisaa. Hawakupi kulala, Hawajui kuvaa kwako na Hawajui unakula nini, unajijua mwenyewe wao hawakujui achana nao. Wale wale Wale wale achana nao. Eti wao Wanasema nini? Achana nao waache wao achana nao mafafala kabisaa. Wao kusengenya kwao ndio riziki, usishundane nao. Tia pamba sikio ushike hamsini zako achana nao.

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like