WOO

6 Plays

15 Nov 2021

woozy ah buda nipate nimenyanya kila siku 4.20 napenda makali namix na mangwai sipendi kuzoza but nkupate nakutoka nacheza na pongi na sina kitu kwa pori kwa zabe napenda kuiva spendi kuteka mafwanga napenda haga amebeba iko kwa akili medula majini si ya ketepa nimebeba ya kabianga leta ufala bro itakuwa ni mazishi kila siku napenda kuseti mangwai nipate na kumi nipate kwa chuuom nimemedi na lazima nichill na mbogi ambia mafala wamedi woozy atawakula madondi buda mi si omolo mi ni omondi kwa zabe napenda kuiva spendi kuteka mafwanga napenda haga amebeba iko kwa akili medula majani si ya ketepa nimebeba ya kabianga lata ufala bro itakuwa ni mazishi lap nawapeleka ka runner wanajua mi ukua pacer buda jina hard driller makali sieki chasser nachange ka weather. niko na joto ka sweater nawapeleka ka racer kila siku nalenga mahater kwa zabe napenda kuiva spendi kuteka mafwanga napenda haga amebeba iko kwa akili medula majani si ya ketepa nimebeba ya kabianga leta ufala bro itakuwa ni mazishi*2 lap nawapeleka ka runner wanajua mi ni pacer buda jina hard driller makali sieki chasser nachange ka weather niko na joto ka sweatter nawapeleka ka racer kila siku nalenga mahater

1 Comments

Leave a comment

You may also like