Joachim Francis
Joachim Francis

Chim:-najuwa mnataka

Chim:-najuwa mnataka

15 Plays

04 Nov 2021

Najuwaa mnatakaaa Mimi niwe pambee Piaa mnatakaaa Mimi niwe haheee Nashukuru nimempataaa wakukaa naee Pole mnao takaaaa Mimi nsiwe nayeee Goh..!! Haaaaaaaaaa, Haaaaaaaaaa, Haaaaaaaaaa, Haaaaaaaaaa Najua niwengi mnapenda niwe loko, hampendi kuona me na shine niwe kwenye msoto vile navo drive life langu sonko wengi mnafigth mnataka nile moto Najuwaa mnatakaaa Mimi niwe pambee Piaa mnatakaaa Mimi niwe haheee Nashukuru nimempataaa wakukaa naee Pole mnano takaaaa Mimi nsiwe nayeee Suuh..!! Nashukuru nimepata huyu anae nipenda sana, siwezi kubomoka mi nawaza kuhusu imara, yeye ananipenda me nampenda tena sana, kila kona mi napita tena kila idara, siwazi kuhusu trust, me nawaza mwana, wale mlio tu crush, mbona mnazozana Jinsi nlivo huck, penzi lina ng'araaa Hiyo ndouble tap, Jinsi navyo fanya Nadhani mmesikia, ujumebe umewadiaa nampenda wangu dear, natena nawambiaa, siwezi kumwachiaa, size ya combania, namkanda anatulia, mwamba na kazia Ata snitch useme nini mimi nipo tu Amini utaja juta na utabaki macho juu mwenzako ashadata show navo jaza full chunga usije nata utaja waka ka kifuu Najuwa mnatakaaa mimi niwe pambee Piaaa mnatakaaa mimi niwe hahe Nashukuru nimempataaa wakukaa naee Pole mnano takaaaa mimi nisiwe nayee

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like