my de

8 Plays

03 Nov 2021

deeee 2004 ulikua Na majozi sikufichi mwangu ilikua machozi ndugu walijiuliza inakuaje Ila palepale bi mdogo alinyanyua mdomoo nakusema hao mi mbon nitaishi nao u maaaladii aaah. u maaaladii aaah u maaaladii aaah u my deeee aaah u my deeee aaah u my deeee aaah 1998 ndiyoooooo mwaka nilio zaliw sikufichi mwanangu mambo yalikua fen cheni siku zilizid regend mambo yakawa yanasonga rakini cha ajabu mambo yakaanza kuna makavu yani atali zaidi ya ndovu usichoke mwana pambana najua IPO siku utatoka u my deeee aaaah u my deeee aaah u my deeee aaah basi nikaanza kujitrot nikasogea mkoa kuzani yakwamba maisha yatalindi lakin nashaangaa yamekua magumu yani zaidi Mua now wes go tell me now usikate tamaa najua IPO siku utatoka @de boey tz

Be the first who leave a comment.

Leave a comment

You may also like