kin,

9 Plays

25 Oct 2021

,🖕🖕kwenye biti nafuukuza mi ndo mnyamwezi na ao masnichi kwanza awaniwezi nakimbiza mchana na usiku naimba king'u boy sijali mabifu mara kushika huyu mavisu kutekana tekana mambo ya usiku ndositaki minaimba navyo taka kwenye biti nawa chapa king'uboy ndo rapa maboya ka pembeni huu mziki huwa cheni kwanza poleni mtapanga sana foleni kabla ya kuchana nakula kwanza ndumu kisha nachanganya ndonama sumu inakua hatari muite daktari ndo utapata afazari we utakubali

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like