kimg21
kimg21

weka

weka

19 Plays

21 Oct 2021

Kim g ckizan one day music ingesehemu ya maisha nishea na wana wangu tunaki tunachapa tunawasha weka music weka loud ewe dada fanya kama vile round twerk hata kama msipoongea mm nawabqmba nawakata hakuna kulalq fanya kama unakanda music hit unaweka heat utalisoma jiji huu mwaka wako weka weka weka weka weka music beat unawafanya mabint wawafuate machiz na bado wanabwagwa chini am not enterven is non of concern we ckia mtoto wa mwenzako na wakwake achana na zama za kale weka weka weka weka weka mziki wakitoa lazma wafanye Kik maisha ni umma umma ni wao eti kachomoa ngapi nw mili ni yao wanafanya wawezavyo hakuna anayejali maisha ya mwenzake ni wewe tu uchague bwana wamajeshi au wanapesa weka weka weka weka weka mwenzako kahongwa kapata Mihela nawe uwande upate kiwembe kikuchane kidole na ubebwe na tela hakuna ujeda ukiamua kupenda

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like